Social Icons

Monday 13 October 2014

HATARI SANA: MWANAFUNZI CHUO CHA UHASIBU (TIA) MKOANI SINGIDA AJICHOMA KISU TUMBONI

Mwanafunzi aliefahamika kwa jina moja la Moza anayesoma mwaka wa kwanza katika chuo cha Uhasibu TIA Mkoani Singida amenusurika kufa baada ya kufanya jaribio la kutaka kujiua kwa kujichoma na kisu kushindikana, tukio hilo limetokea jana baada mwanafunzi huyo kumfumania mpenzi wake wa kiume akiwa na mwanamke mwingine.

No comments: