Social Icons

Monday 21 July 2014

MPYA KABISA: TAZAMA MAJINA YA WALIMU WANAOTAKIWA KUJIUNGA NA JKT HAYA HAPA


Hatimaye jeshi la kujenga taifa limetangaza majina ya walimu ambao wanatakiwa kupitia jkt kwa ajili ya mafunzo MAALUM kama ilivyo kwa kidato cha sita,yajulikanayo kama mafunzo kwa  mujibu wa sheria.

Walimu waliochaguliwa ni wa ngazi ya cheti ambao wamepangiwa vikosi vya kwenda.

Kuangalia majina hayo tafadhali BOFYA hapo chini Kwenye mikoa


No comments: